Home Kitaifa Okwi alivyohusika kuwazika Waarabu Dar

Okwi alivyohusika kuwazika Waarabu Dar

3003
0

Kwa upande wangu Emmanuel Okwi ndio alikuwa MAN OF THE MATCH kwenye mchezo wa jana (Simba vs Saoura) ligi ya mabingwa Afrika.

Okwi alikuwa kiongozi kwa wachezaji wenzake uwanjani, kama ulimfatilia kwa makini alikuwa akiwaamsha wachezaji wengine ili waongeze kasi ya mchezo pale alipoona wameanza kuingia kwenye style ya waarabu (slow).

Alifunga goli la kwanza na ku-assist magoli mengine mawili ambayo yalifungwa na Meddie Kagere.

Okwi anastahili kupata 9/10 katika mchezo wa jana kutokana na uwezo aliouonesha licha kwamba hakumaliza dakika zote za mchezo lakini alionesha ubora kutokana na uzoefu wake.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here