Home Uncategorized Odoi kugomea mshahara mpya Chelsea

Odoi kugomea mshahara mpya Chelsea

3791
0

Kinda wa Chelsea Collum Hudson-Odoi anatarajia kukataa ofa ya mshahara wa £85,000 ili abakie klabuni hapo. Odoi inasemekana anataka kujiunga na miamba wa Ujerumani Bayern Munich


Dembele atakaa nje ya uwanja kwa siku 15. Dembele aliumia kwenye mchezo dhidi ya Leganes. Dembele katika mchezo huo aliumia kifundo cha mguu wake wa kushoto.


Real Madrid inajiandaa kupeleka dau la £75M kwa ajili ya kumng’oa nyota wa Man City Bernado Silva


Inasemekana kuwa uongozi wa Arsenal umempigia simu James Rodriguez kwa ajili ya kumshawishi nyota huyo kujiunga kwa mkopo majira haya ya baridi.


Kwa mpira wa leo niliouona hamuwezi kuchukua kombe la Afrika. Lazima niwaambie ukweli” Raisi Magufuli Tarehe 19/05/2018


BREAKING: @Arsenal imethibitisha kuwa Sven Mislintat mkurugenzi mkuu wa kutafuta na kuinua vipaji klabuni hapo Mkataba wake unatamatika February 8.


Arsenal inamuwinda Gelson Martins. Winga huyo wa Atletico pia anasakwa na klabu ya Monaco


KOMENTI YA MDAU

Huwezi kuwa na ligi moja wengine mzunguko wa pili mechi 21, wengine 18, 20 na wengine ndo kwanza 14 halafu ukawa na ligi bora. Tuendelee kuzitambia ruvu shootng na mby City.


Kipigo cha jana kimetupatia somo” Kocha mkuu wa Simba

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here