Home Kitaifa No Mkude No Problem

No Mkude No Problem

3478
0

Kiungo wa Simba Jonas Mkude atakosekana kwenye mchezo dhidi ya AS Vita, atakuwa anatumikia adhabu ya kadi mbili za njano. Kocha wa Simba Patrick Aussems anasema kwenye timu yake hakuna mchezaji bora zaidi ya mwingine.

“Nina wachezaji 25 kwa hiyo hakuna bora zaidi ya mwenzake zaidi kila mchezaji anaumuhimu wake.”

“Jonas alipata kadi ya pili ya njano hawezi kucheza lakini mtu mwingine anaweza kucheza uwanjani, hakuna tatizo.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here