Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima ametolea ufafanuzi ‘ishu’ ya baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo kutoroka kambini usiku kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Bandari FC ambapo Simba ilifungwa 2-1 na kushindwa kufuzu hatua ya fainali ya SportPesa Cup 2019.
Full video tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV hapa chini unaweza kuichek kwa kirefu zaidi Niyonzima akitia story kamili ishu ilivyokuwa. Bofya play ▶kuangalia full video.