Home Dauda TV Nikki wa Pili kalibutua BAKULI la Yanga

Nikki wa Pili kalibutua BAKULI la Yanga

4623
0

Mkali wa BongoFleva Nikki wa Pili kutoka kundi la #WEUSI ameponda utaratibu unaotumiwa na klabu ya Yanga kuchangisha mashabiki kwa style ya #BAKULI uwanjani siku za mechi zao.

Nikki anasema hata kama leo akitoa 2M kesho hawezi kutoa tena kwa hiyo viongozi wa Yanga wanatakiwa kufikiria mbali na kubuni mifumo ambavyo vitaiingizia klabu mapato lakini haya mambo yakutozana sadaka hayawezi kuwa endelevu.

Full story tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV unaweza kuangalia kwa kirefu zaidi uhauri alioutoa Nikki.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here