Home Dauda TV Nikki alivyomshawishi Baby Mama kujiunga Man United

Nikki alivyomshawishi Baby Mama kujiunga Man United

3505
0

Nikki Wapili anasema kuna watu wa Chelsea huwa wanamzingua sana siku Manchester United ikipasuka. G Nako ni miongoni mwa watu ambao huifanya simu ya Nikki kuwa ya moto.

Manchester imepigwa game nyingi msimu huu lakini Nikki aliumia zaidi Chelsea waliposawazisha na kufanya matokeo kuwa 2-2 kwenye mchezo wa EPL raundi ya kwanza msimu huu.

Sasa leo zinakutana tena Chelsea na Man United katika mchezo wa FA Cup, Chelsea bado hawajapoa tangu walivyoangukiwa na Man City 6-0 licha ya ushindi wao wa 2-1 dhidi ya Malmo kwenye Europa League. Manchester pia imetoka kupoteza kwa mbele ya PSG kwenye Champions League.

Nikki atacheka au ataumia kwa mara nyingine?

Angalia video kupitia Dauda TV kwenye YouTube uone Nikki alivyofanikiwa kuiongezea Man United shabiki mpya. Bofya PLAY▶uendelee ku-enjoy.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here