Home Dauda TV “Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe

“Nahisi kutapika nikisikia KWA MCHINA”-Mwakyembe

4355
0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amepiga vita uwanja wa taifa kuitwa KWA MCHINA kama ambavyo imeanza kuzoeleka siku za hivi karibuni.

Angalia video hapa chini👇Waziri Mwakyembe akionesha kukerwa na wanaoiuta KWA MCHINI uwanja wa Taifa. Bofya PLAY▶kwenye link ya #YouTube uangalie kupitia #DaudaTV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here