Home Kimataifa Mwamuzi afungiwa maisha Zamalek yamtimua kocha,

Mwamuzi afungiwa maisha Zamalek yamtimua kocha,

3520
0

Fifa imempiga marufuku ya kutokujihusisha na masuala ya soka Mwamuzi Ibrahim Chaibou kutoka Niger na faini ya dola 177k.

Mwamuzi huyo amekutwa na hatia baada ya kutoa penati tatu South Africa vs Guatamala mwaka 2010 ambapo afrika kusini walishinda 5-0.


Baada ya kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Zamalek kuna taarifa kuwa kocha wa Pyramids Hossam Hassan ametimuliwa.

Hossam Hassan alijiunga na Pyramids baada ya kuipeleka Al Masry nusu fainali ya kombe la shirikisho.

Pyramids wapo nafasi ya pili nyuma ya Zamalek kwa alama 3.

Hossam ameongoza Pyramids michezo 11 bila kufungwa, Ushindi mechi 6 na kutoka sare mechi 5 lakini hilo bado halijamfurahisha bosi Turk Al Sheikh.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here