Home Dauda TV “Mourinho amechangia mimi kuumwa”-Ommy Dimpoz

“Mourinho amechangia mimi kuumwa”-Ommy Dimpoz

3176
0

Mkali wa BongoFleva Ommy Dimpoz amerudi bada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu. Amerejea na ngoma kali #NiWewe ambayo anamshukuru Mungu mwa kuendelea kumpa uhai licha ya kupitia kipindi kigumu.

Ukiachana na kipaji chake cha muziki, Ommy ni fan mkubwa wa soka akiwa ni shabiki wa Manchester United ya England na Simba ya Tanzania.

Kuna wakati Ommy aliwahi post kwenye account yake ya Instagram #MourinhoOut akitaka aliyekuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho afukuzwe kutokana na matokeo mabaya iliyokuwa ikipata Manchester United.

Eti anasema Mourinho ndio alisababisha hata kuumwa kwake (utani) kwa sababu timu ilikuwa haieleweki.

Ommy anasema tangu Man United imekuwa chiniya Ole Gunnar So ni tabasamu, furaha na kunenepa hadi sauti yake imerudi kwenye ubora wake😂😂

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here