Home Kimataifa Morata done deal

Morata done deal

4395
0

Morata tayari amekubaliana na klabu ya jiji alilozaliwa Madrid na klabu ya Atletico Madrid.

Atletico imefanya makubaliano na Chelsea ya kumnunua MOrata hapo baadae kwa kitita cha £48M.

Taarifa pia zimeeleza kuwa Morata amekubali kulipwa mshahara mdogo zaidi kuliko ule anaolipwa Chelsea kwa sasa £120,000.

Kuondoka kwa Morata huenda kukatoa fursa nyingine zaidi kwa fowadi wa Juventus anayecheza kwa mkopo Milan Gonzalo Higuaini kujiunga na vigogo hao wa darajani.

Higuaini ameachwa kwenye kikosi cha Milan kwenye mchezo uliopita nae anatarajia kutua darajani. Chelsea imekubali kutoa kitita cha £32M kumnunua Higuaini hapo baadae.

Hata hivyo Higuani mkataba wake una vipengele mbalimbali. Chelsea itawalipa Juventus kutokana na idadi ya magoli atakayofunga, makombe na idadi ya mechi atakazocheza kwa wakati huu wa mkopo

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here