Home Uncategorized Misri kutengeneza kituo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mo Salah

Misri kutengeneza kituo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mo Salah

3587
0

Taarifa kutoka Misri zinadai kuwa serikali ya nchi hiyo ipo kwenye mchakato wa kutengeneza sehemu maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya Mohamed Salah.

Serikali inatarajia kuanzisha kituo kitakachokwenda kwa jina la Mo Salah Sports Centre ambacho kitakuwa karibu na eneo la Gezira Youth Centre kuliko mjini Cairo.

Waziri wa michezo nchini huko Ashraf Sobhy amesema mpango huo unaratibiwa.

“Tutaweka jezi mbalimbali za Salah, video zake, na picha zake ambazo zitambatana na tuzo zake mbalimbali alizopata nje na ndani ya taifa lake.

Tumeona mara kadhaa huko ulaya mambo haya yakiendelea kwa vilabu naataifa kutenga maeneo mbalimbali kwa ajili ya heshima za wachezaji wake.


Siku kama ya leo Chelsea walifanikiwa kumsajili Mo Salah

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here