Home DOKUMENTARI Messi anavyowanyanyasa wenzake Ulaya

Messi anavyowanyanyasa wenzake Ulaya

7915
0

Ukitokea mpira wa adhabu nje ya eneo la hatari bila shaka kwa upande wa leo Messi hiyo ni sawa na mkwaju wa penati kwake. Dunia ya sasa hakuna kama yeye kwenye upigaji wa mipira hii ya kutenga.

Cristiano Ronaldo ni mmoja kati ya wapigaji wazuri wa mipira ya adhabu lakini tokea ajiunge na Juventus amekutana na ushindani kutoka kwa Miralem Pjanic na Paulo Dybala ambao mara kadhaa wao ndio wapigaji wa mipira hiyo kwa upande wa Bianconeri.

Serie A imefanikiwa kuwa na wapigaji wazuri wa mipira hiyo kama nyota wa Milan Hakan Calhanoglu

No. Mchezaji Klabu
1 Lionel Messi Barcelona 19
2 Miralem Pjanic Juventus 12
3 Hakan Calhanoglu Milan 12
4 Paulo Dybala Juventus 9
5 Daniel Wass Valencia 8
6 Daniel Parejo Valencia 8
7 Aleksandr Kolarov Roma 7
8 Cristiano Ronaldo Juventus 7
9 Juan Mata Man United 6
10 Enis Bardhi Levante 6
11 James Rodriguez Bayern 6
12 Marvin Plattenhardt Hertha 6
13 Neymar PSG 6
14 Andrea Pirlo Retired 6
15 Alexis Sanchez Man United 6

Nyota wa Brazil Neymar licha ya kuwa  kiwango kibovu cha upigaji wa faulo tokea atue Ulaya ambapo amefunga mara 6, Neymar amefunga mara 5 katika faulo 17 alizopiga katika michuano ya uefa rekodi bora kuliko mchezaji yeyote kwa sasa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here