Home Kimataifa Meseji za Neymar zavuja, Chelsea yatenga £40M kunasa beki

Meseji za Neymar zavuja, Chelsea yatenga £40M kunasa beki

5342
0

Meseji ya siri ya Neymar aliyomtumia Frankie De Jong imevuja. Kiongozi mmoja wa Barcelona amevujisha meseji ambayo Neymar alimtumia De Jong ambaye amejiunga na Barcelona ikisema “Najutia kuondoka Barcelona”Neymar aliondoka Barcelona baada ya kuvunja rekodi ya Usajili kwa kununuliwa kwa dau la €222M. Neymar mara kadhaa amehusishwa kujiunga na mahasimu wake wa hapo awali Real Madrid huku baadhi ya taarifa pia zikisema kuwa angependelea zaidi kurudi Camp Nou


Klabu ya Chelsea ipo mbioni kutumua ofa ya £40m kwenda klabu ya Bournemouth kunasa saini ya aliewahi hua beki wao Nathan Ake katika mwezi huu wa dirisha dogo la usajili.(Daily star)


Licha ya kuwa tajiri deni la Man United limepanda kufikia €459M. Lakini inatajwa kuwa moja ya klabu tajiri duniani. Usishangae sana hata Marekani ni nchi tajiri lakini deni lake ni kunwa kuliko nchi yeyote duniani. Kufikia Januari mwaka huu deni la Marekani limepanda kufikia $21,974,096,000,000

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here