Home Kitaifa Mechi 4 baada ya Pluijm kuondoka Azam

Mechi 4 baada ya Pluijm kuondoka Azam

2649
0

Tangu kocha Hans Van Pluijm na msaidizi wake Juma Mwambusi wavunjiwe mikataba yao na uongozi wa Azam FC, timu hiyo imeshinda mechi zake 4 mfululizo chini ya makocha wa muda Idd Cheche na Meja Mstaafu Abdul Mingange.

Azam imeshinda michezo mitatu ya ligi kuu Tanzania bara (African Lyon 1-3 Azam, Azam 6-0 JKT Tanzania na Azam 4-0 Singinda United). Imeshinda pia mchezo mmoja wa kombe la TFF (Azam 3-0 Rhino Rangers).

Matokeo mengine ya mechi za Ijumaa March 15, 2019

Tanzania Prisons 2-0 JKT Tanzania
Mwadui FC 1-2 Stand United

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here