Home Kitaifa Masau Bwire aivimbia Azam

Masau Bwire aivimbia Azam

2772
0

Afisa habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire amesema uwezo wa Azam uliooneshwa kwenye mchezo wa leo ni mdogo na kusema kama timu yake ingepata fursa ya kushiriki Mapinduzi Cup bila shaka ingekuwa bingwa wa kombe hilo.

“Nimefikia hatua ya kusema hawa wazanzibar wangekuwa wanaijua Ruvu Shooting ingekuja na Kombe la Mapinduzi kwa sababu Azam waliochukua tunaona kama uwezo wao mdogo sana kwa Ruvu Shooting.”

“Tungekua tumeshiriki tungekuwa na sherehe nyingine tena hapa ya Kombe la Mapinduzi.”

“Matokeo haya hayakutufurahisha, nimenyong’onyea sana nimekosa hata nguvu kwa sababu Azam leo walikuwa wetu kabisa tena wepesi.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here