Home Kimataifa Marufuku kuutumia uwanja wa taifa

Marufuku kuutumia uwanja wa taifa

4592
0

Na Mwandishi LEONARD NYONI

Mkurugenzi wa halmashauri ya Temeke Ndugu LUSUBILO mwakibibi amesema kua ataufunga uwanja wa taifa dar kwa kua hawajawahi kulipa kodi ya huduma za kiwanja/Ushuru (Service levy)

Ameyasema hayo alipokua akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ofisini kwake Dar. Amevitaja viwanja vyote vya michezo ambavyo havilipi kodi ya huduma atavifungia hadi vitakapolipa kodi.

Aliongeza pia kiwanja cha Azam wao wapo njiani kulipa. Pia ametoa taarifa kuwa wataanza kukata kodi kwenye shughuli za unyago, sikukuu za kuzaliwa na vigodoro na wale wanaokodi ngoma kwajili ya kusutana maarufu Kama kifagio. Yote haya amesema yapo kisheria na yamepitishwa kisheria

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here