Home Kimataifa Martial arejeshwa tena Ufaransa

Martial arejeshwa tena Ufaransa

3165
0

Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps, ametaja kikosi kwaajili ya kujiandaa na mechi za kufuzu Euro mwaka 2020

Winga wa Manchester United, Anthony Martial amerudishwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwaajili ya mechi za kufuzu Euro dhidi ya Maldova na Iceland.

Martial aliachwa na kikosi cha Ufaransa kilichoshinda ubingwa wa Kombe la Dunia katika majira ya kiangazi mwaka 2018.

MAKIPA: A. Areola, H. Lloris na S. Mandanda

MABEKI: L. Digne, B. Pavard, R. Varane, P. Kimpembe, D. Sidibe, K. Zouma, L. Kouzawa na S. Umtiti

VIUNGO: B. Matuidi, M. Sissoko, T. Ndombele, N. Kante, na Paul Pogba

MAFOWADI: K. Koman, A. Griezman, F. Thauvin, N. Fekir, A. Martial, O. Giroud na Kylian Mbappe.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here