Home Kimataifa Manuel Neuer awahofia Liverpool

Manuel Neuer awahofia Liverpool

3566
0

Goli kipa na nahodha wa klabu ya Bayern Munich, na timu ya Taifa Ujerumani, Manuel Neuer, amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Liverpool, utakuwa mchezo mgumu sana.

Neuer, mwenye umri wa miaka 32 amesema kuwa Liverpool ni moja ya timu bora kwa sasa katika ligi kuu England.“Neuer, amesema kuwa niliwahi kuangalia mchezo wa ligi kuu England Liverpool, dhidi ya Manchester City, walicheza vizuri sana japo walipoteza kwa mabao 2-1,”.

” “Liverpool, ni wazuri kwenye kushambulia kwa mpira mirefu wana spidi safu yao ushambuliaji wana wachezaji wazuri sana kila idara,”.

“Mchezo wetu dhidi ya Liverpool, utakuwa asilimia 50-50 tunahitaji tuwe makini zaidi,”.


Bayern Munich, na Liverpool, watakutana mwezi ujao kwenye michuano ya klabu bingwa Barani ulaya hatua ya 16 bora.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here