Home Ligi BUNDESLIGA MANCHESTER INAMUHITAJI CHICHARITO – DAVID DE GEA

MANCHESTER INAMUHITAJI CHICHARITO – DAVID DE GEA

631
0

ea

Hivi sasa Chicharito ni mchezaji tegemezi kwa club ya Bayer Leverkusen ambayo inashiriki ligi ya Bundesliga inayoonyeshwa kupitia Startimes.

Chicharito alisema Manchester na kuhamia Leverkusen na huko amekua msaada mkubwa akifunga mabao kama kazi yake inavyomuagiza.

Kipa wa Machester David De Gea amezungumza maneno mazuri kuhusu rafiki yake huyo lakini kikubwa kilichopatikana ni kwamba, De Gea amesema dunia nzima inajua Chicharito ni mfungaji magoli. Manchester kama ya sasa inamuhitaji sana yeye.

Lakini imekua too late ambapo sio rahisi kwa Chicharito kurudi tena Manchester unuted kutokana na maisha yake kuwa perfect ndani ya Bundesliga.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here