Home Kitaifa Makocha wasaidizi Bongo ni wakalimani?

Makocha wasaidizi Bongo ni wakalimani?

2870
0

Jana kwenye show ya Sports Xtra @Luambano77 aliuliza swali kuhusu nafasi ya makocha wasaidizi kwenye timu zetu ambazo zinafundishwa na makocha wa kigeni (wazungu).
.
.
Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kuleta makocha wa kigeni hususan wazungu ambao wanatumia lugha za kigeni, makocha wasaidizi wazawa huwa wanakuwa washauri wa kiufundi au makocha wasaidizi ambao ni wakalimani?
.
.
Hebu tusaidiane kumjibu Alex Luambano

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here