Home Kitaifa Makamba atoa darasa Bodi ya Ligi

Makamba atoa darasa Bodi ya Ligi

3251
0

Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba ambaye pia ni mwanachama wa Simba amesema kwa sasa ligi yetu inahitaji uchangamfu unaoakisi mapenzi ya mpira kwa watanzania.

“Ligi yetu inahitaji ichangamke kidogo, watanzania wanapenda sana mpira unaweza kuona wanavyojaa viwanjani kwenye baadhi ya mechi na wengine hutokwa na machozi, wanaweka madau.”

“Sasa ligi lazima iakisi mapenzi ya watu na mpira, lakini tazama mahudhurio uwanjani madogo sana, tazama ubora wa viwanja utaona upo chini sana, tazama udhamini tunaenda mbele tunarudi nyuma?

“Mimi naona mpira wetu baada ya kuondoka kwenye ridhaa kuja kwenye professional lazima mambo yaboreshwe lakini pia management ya ligi, administration naona kazi kubwa inabidi ifanyike.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here