Home Dauda TV Mabaunsa Simba washikana mashati na waandishi

Mabaunsa Simba washikana mashati na waandishi

3904
0

Zogo limeibuka kati ya waandishi wa habari na mabaunsa wa Simba. Wachezaji wa Simba walitumia mlango unaotumiwa na waandishi wa habari halafu wakawazuia waandishi kuingi kwa kutumia mlango huo.

Simba na Yanga wote hawajapita kwenye mlango rasmi wa kuingilia vyumba vya kubadilishia nguo, kila timu imepita ilipoamua.

Angalia video #YouTube kupitia #DaudaTV bofya PLAY▶kuangalia video mwanzo mwisho hapa chini👇

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here