Home Kimataifa “Ligi kuu Afrika Kusini ndio ligi bora zaidi Afrika”

“Ligi kuu Afrika Kusini ndio ligi bora zaidi Afrika”

3865
0

“Sijaona ligi iliyo bora kuuzidi ligi kuu ya Afrika Kusini. Nimekuwa nikifuatilia ligi mbalimbali lakini sijaona walichotuzidi.”

“Mchezaji anayecheza ligi za hapa Afrika aliyefanikiwa kuingia kikosi bora cha Afrika ni Davis Onyango anayecheza ligi ya hapa Afrika Kusini”

“Sasa kama mchezaji pekee aliyetokea bara la Afrika ambaye ameingia, kwenye kikosi bora ametokea ligi ya hapa kwanini PSA isiwe ligi bora?”

Hiyo ni kauli ya kocha wa Mamelodi Pitso Mosimane. Je wewe una mtazamo upi kuhusiana na ni ipi ligi bora barani hapa.


Kwingineko

Klabu ya Kaizer Chiefs imekumbwa na shida ya majeruhi wengi kutoka kikosi cha kwanza.

Kocha mkuu wa klabu hiyo, Middendorp amewataja beki wake Itumeleng Khune, Lebogang Manyama, Lorenzo Gordinho, Eric Motholo, Joseph Molangoane na Wiseman Meyiwa watakuwa nje ya kikosi chake.Takwimu

Rekodi ya Eden Hazard dhidi ya big six kwenye mashindano yote.

5️⃣⚽️ vs. Arsenal
7️⃣⚽️ vs. Liverpool
4️⃣⚽️ vs. Man City
5️⃣⚽️ vs. Man United
6️⃣⚽️ vs. Spurs

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here