Home Kitaifa La Liga kuifaidisha Tanzania

La Liga kuifaidisha Tanzania

4323
0

Mwakilishi wa La Liga Tanzania Luis Cardenas leo amezungumzia maendeleo ya mchezo wa soka na  namna La Liga anavyochangia katika maendeleo hayo kuhakikisha mchezo soka unapiga hatua kila pembe ya dunia.

Soka ni sehemu muhimu katika jamii na La Liga wanataka kuwa sehemu ya kukua kwa soka kila mahali kwa sababu wanaamini kadiri watu wanavyoangalia soka ndivyo ligi yao inaongeza mashabiki.

La Liga pia ipo katika mazunguzo na TFF kama mambo yatakwenda sawa huenda kukawa na mashindano ambayo yataandaliwa na La Liga kama ilivyo katika mataifa mengine ya Afrika (Cameroon, South Africa, Nigeria).

Full video tayari ipo #YouTube kupitia channel yangu ya #DaudaTV

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here