Home Dauda TV Kutoka “Wamchangani” hadi “Kimataifa”, wazungu waipigia saluti Simba

Kutoka “Wamchangani” hadi “Kimataifa”, wazungu waipigia saluti Simba

12405
0

Zamani wakati Simba ikiwa haishiriki michezo ya kimataifa walikuwa wakiitwa “Wamchangani” lakini sasa klabu hiyo imeanza kutambulika kama “Wakimataifa”.

Katika kudhihirisha hilo baadhi ya wazungu waliokuwepo katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa tuliwakamata na wakiwa na jezi ya wekundu wa Msimbazi na wakasema machache kuhusu klabu hiyo.

Jionee hapa.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here