Home Kimataifa Kocha wa Zamani wa Simba aweka rekodi Afrika

Kocha wa Zamani wa Simba aweka rekodi Afrika

5352
0

Kocha wa Black leopards Dylan Kerr amepata tuzo ya mchezaji bora wa mwezi pamoja na mshambuliaji wake hatari Mwape Musonda.

Kerr ametwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi Disemba na Januari baada ya kushinda mechi 3 kati ya 6.

Kerr klabu yake mpya ilipoteza mchezo wake wa kwanza kabisa bao moja kwa bila dhidi ya Bidvest licha ya kwanza hakuwepo benchi.

“Nashukuru sana nimepata tuzo ndani ya muda mchache sana. Hii tuzo imenitambulisha hapa lakini bado tuna safari ndefu sana” Kerr

Kerri ambaye ana miezi miwili ndani ya Black Leopards lakini ameweza kutwaa tuzo hiyo na kuwa kocha wa kwanza wa klabu hiyo kutwaa tuzo hiyo ndani ua kipindi cha miaka 10.


Kocha mkuu wa Orlando Pirates amesema mechi yao dhidi ya Esperance ni ngumu sana lakini kikosi chake bado kina uwezo wa kupambana.

“Nimeishi haoa afrika kwa miaka 18 na nimetembea mataifa 50 kati ya 54 hivyo najua tamaduni za mataifa yite kwa kiasi fulani. Mimi sio mgeni wa Tunisia lakini kila kitu kitakwenda sawa” Milutin Micho

Vilabu hivyo vitakutana siku ya jumamosi ndani ya uwanja wao wa nyumbani.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here