Home Dauda TV Kocha AS Vita kataja udhaufu wa Simba

Kocha AS Vita kataja udhaufu wa Simba

7679
0

Baada ya mechi ya AS Vita vs Simba kumalizika, nilikutana na kocha msaidizi wa Vita Raoul Shungu ambaye si mgeni kwa watanzania kwa sababu aliwahi kufundisha Yanga.

Shungu amezungumzia mambo mengi kuhusu mchezo wao dhidi ya Simba, amesema kuwa waliangalia mechi kadhaa za Simba na kubaini mapungufu ambayo wameyatumia na kupata ushindi.

“Simba ni timu nzuri lakini wanacheza mpira ambao sio wa kasi, wanapiga pasi ambazo kwenye mashindano hazina faida, wanapoteza muda mwingi kupiga pasi za hapa na pale badala ya kwenda mbele kutafuta nafasi. Sisi tunarudi nyuma tukipata mpira tunacheza kwa speed.”

Shungu amesema katika kipindi chote alichofundiaha Yanga, alishinda mechi zote alizokutana na Simba.

Full interview tayari ipo #YouTube tembelea #DaudaTV umsikilize kocha ambaye ana miaka miwili sasa akiwa kocha wa AS Vita.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here