Home Kimataifa Kichuya mbioni kutua Misri, Ambokile safarini kwenda Afrika Kusini

Kichuya mbioni kutua Misri, Ambokile safarini kwenda Afrika Kusini

4242
0

Klabu ya Simba imethibitisha kuwa wapo kwenye mazungumzo na klabu ya Pharco ya Misri kuhusiana na uhamisho wa nyota wake Ramadhani Shiza Kichuya.

Klabu ya Pharco ilianzishwa mwaka 2010 ipo ligi daraja la pili nchini Misri ambapo ilipanda daraja la pili mwaka 2015


Klabu ya PSG imethibitisha kuwa nyota wake Neymar atakaa nje kwa muda wa wiki 10.


Eliudi Ambokile amelekea Afrika kusini kwa ajili ya mazungumzo na klabu ya Black Leopard inayofundishwa na kocha wa zamani Dylan Kerr (Kocha wa zamani wa Simba na Gor Mahia).

Eliud alikwenda Misri kufanya majaribio lakini wakashindwana kwenye maslahi.


Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here