Home Dauda TV Kakolanya kaomba kuondoka Yanga

Kakolanya kaomba kuondoka Yanga

4223
0

Beno Kakolanya kupitia mwanasheria wake ameandika barua kwa uongozi wa Yanga akiomba kuvunja mkataba!

Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Samuel Lukumay amethibitisha kupokea barua kutoka kwa mwanasheria wa Beno.

Kwa taarifa zaidi tembelea #YouTube channel yangu #DaudaTV pia usiache KU-SUBSCRIBE ili uwe unapata story ninazokuwekea YouTube.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here