Nahodha wa Simba John Bocco amezungumzia nafasi ya Simba katika Kundi D la #CAFChampionsLeague kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri siku ya Jumamosi February 2, 2019.
Full video tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV hapa chini unaweza kuichek kwa kirefu zaidi Bocco akizungumza muda mfupi kabla ya kuondoka. Bofya play ▶kuangalia full video