Home Dauda TV Ikitokea Rabbin Sanga kafuzu majaribio, taratibu usajili zipoje?

Ikitokea Rabbin Sanga kafuzu majaribio, taratibu usajili zipoje?

3588
0

Wadau wengi wa soka wanataka kujua endapo Rabbin Sanga akafuzu majaribio yake kwenye Academy ya Besiktas na wakaridhia kumchukua, taratibu zimekaaje?

Kwa sababu kijana ni mdogo ana miaka chini ya 18, Shaffih Dauda anafafanua taratibu zilivyo kwa kutumia uzoefu wake katika masuala ya mikataba kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 18.

Angalia full video hapa chini kupitia #YouTube kwenye channel ya #DaudaTV upate kujua endapo Rabbin Sanga atatoboa kwenye majaribio nini kitafata. Bofya PLAY▶hapa chini👇

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here