Home Kitaifa Hivi kuna nini pale TFF?

Hivi kuna nini pale TFF?

4539
0

Kila nikipita kitaa watu wananiuliza kwani pale TFF kuna nini? Mbona kila kukicha hivi mara vile…sasa hapa nilikuwa natoa maoni yangu kwa wadau walionidaka mtaani wakaanza kunitandika maswali.

Full video ya maoni yangu kuhusu kinachoendelea TFF tayari nimeiweka kwenye #YouTube channel yangu #DaudaTV hebu tembelea sasa halafu na wewe utanipa maoni yako kwa kuandika comment yako pale chini.

Usisahaku ku-subscribe #DaudaTV ili uwe wa kwanza kupata mastori yote ninayoyatupa hapo.
#InjiniaSomaHiyooo

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here