Home Ligi BUNDESLIGA Hazard na Jorginho wazidi kung’ara, Rooney kuweka rekodi

Hazard na Jorginho wazidi kung’ara, Rooney kuweka rekodi

10581
0

24 – Wilfried Zaha ndiye mfungaji bora wa muda wote wa Crystal Palace kwenye michuano ya ligi kuu. Mpaka sasa ana mabao 24, huku Chris Armstrong akishikikia nafasi ya pili na mabao 23.

86 – Jorginho alifanikiwa kupiga pasi 86 kati ya 92 kwenye kipindi cha kwanza kwenye mchezo wao dhidi ya Newcastle (93.5%), alifanikiwa kupiga pasi 19 idadi kubwa zaidi ya wachezaji wote wa Newcastle. Alipiga pasi 173

Tokea aanze kuichezea Fulham mwezi wa pili mwaka huu hakuna mchezaji aliyemzidiAleksandar Mitrovic kwa kufunga mabao mengi katika orodha ya top 4. Amefunga mabao 15 akiwa analingana na Mo Salah.

Mo Salah kufikia sasa amefunga mabao 29 katika michezo 29 ndani ya Anfield.

500 – Wayne Rooney leo usiku atatimiza mchezo wa 500 katika maisha yake yote ya soka.

Everton – 98 michezo (25 G + 10 A)
Man United – 393 Michezo (183 G + 93 A)
D.C. United – 9 Michezo (3 G + 3 A)


Eden Hazard anazidi kung’ara ndani ya Chelsea. Jana amefanikiwa kufunga bao laje la 70 kwa The blies. Alifanikiwa kuvunja rekodo ya Jimmy Floyd Hasselbaink aliyekuwa akishikilia nafasi ha 3 kama mfungaji bora wa Chelsea akiwa na mabao 69.

Frank Lampard Mabao 147)

Didier Drogba Mabao (104)

Hawa pekee ndio wanaonmzidi mabao.

Hata hivyo tokea mwaka 2014-15 Eden Hazard anaongoza kuwa mchezaji bora wa mchezo

🇧🇪 Eden Hazard: 34
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Harry Kane: 27
🇦🇷 Sergio Aguero: 23
🇨🇱 Alexis Sanchez: 23
🇧🇷 Philippe Coutinho: 22

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here