Home Kitaifa Hata kina Samatta walianzia huku

Hata kina Samatta walianzia huku

5179
0

Ebwana jana nilishuhudia show kali sana mpira wa makaratasi ‘sodo’ au ‘chandimu’ ilikuwa nusu fainali ya UEFA Academy Sodo Cup chini ya miaka 14 pale uwanja wa Mjeshi, Tandale-Yemen.

Full time Alshabab (Tandale) 2-2 Scorpion (Kijitonyama) game ikaamuliwa kwa matatu ambapo Scorpion wakafuzu kucheza fainali.

Nitakuwepo tena siku ya fainali kushuhudia mbungi na timu itakayotwaa mchele 10KG na Jogoo.

Angalia udambwi-dambwi wa hawa madogo kupitia #YouTube channel yangu #DaudaTV.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here