Home Kimataifa Harry Kane kukosa michezo 7,

Harry Kane kukosa michezo 7,

3629
0

Kwa mujibu wa ripoti, Harry Kane anaweza kukosekana kwa muda wa wiki 10, kufuatia jeraha la goti alilolipata dhidi ya Man Utd

Harry atakosa mechi kadhaa ukijumuisha mechi ya Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Borussia Dortmund

❌ Fulham
❌ Chelsea
❌ Crystal Palace
❌ Watford
❌ Newcastle
❌ Leicester
❌ Dortmund


Mlinda lango wa Arsenal Petr Cech ametangaza kustaafu mara baada ya msimu huu kukamilika.

🇨🇿

🏟 717 mechi
🧤 313 Clean Sheets

5 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 FA Cup
4 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League
4 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Community Shield
3 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 League Cup
1 🏆🇪🇺 UCL
1 🏆🇪🇺 Europa League

4 🏅 PL Golden Glove

✅ Golikipa mwenye clean sheets EPL (202)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here