Home Dauda TV “Hakuna mchezaji ANAYENINYIMA USINGIZI Yanga”-Zahera

“Hakuna mchezaji ANAYENINYIMA USINGIZI Yanga”-Zahera

4036
0

Kwenye mchezo wa lii kuu Tanzania bara jana January 15, 2019 Yanga ilimkosa mshambuliaji wake Heritier Makambo ambaye alikuwa kwao Congo DR, lakini kocha wa timu hiyo Zahera Mwinyi amesema timu yake haiyegemei mchezaji mmoja mmoja kwa hiyo kukosekana kwa mchezaji hakuwezi kumnyima usingizi.

“Hakuna mchezaji hata mmoja ambaye naweza kusema akikosekana timu itashindwa kufanya vizuri, hakuna mchezaji anaweza kunifanya nikashindwa kulala kwa sababu ya kukosekane kwenye kikosi”-Zahera Mwinyi, kocha Yanga SC.

“Tumeshacheza mechi 5 bila Ajibu tukashinda zote, Yondani hakuwepo mechi 7 tukashinda zote, Makambo hakuwepo mechi mbili tukashinda zote.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here