Home Uncategorized Gor Mahia na Lobi Star wakumbana na rungu la CAF

Gor Mahia na Lobi Star wakumbana na rungu la CAF

3260
0

Vilabu vya Gor Mahia kutoka Kenya na Lobi Stars kutoka nchini Nigeria vimepigwa faini ya Sh1 million na Sh1.5million na (Caf) kutokana na vitendo vya utovu wa ndihamu kwenye michezo yao miwili waliyokutana katika hatua ya kufuzu klabu bingwa.

Bike wa Gor Harun Shakava na Joash Onyango wameshtumiwa na shirikisho hilo kwa kukiuka kanuni za CAF

Kwa mujibubwa ripoti Onyango alitumia lugha chafu jwa mwamuzi huku Shakava amekutwa na hatia ya kumpiga golikipa Lobi Stars John Lawrence.

“CAF imetoa adhabu ya faini ya kiasi cha $10,000 ($5,000 kwa kila kila timu kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wake),

“wachezaji hao wa Gor mahia wamesimamishwa kucheza mechi mbili zijazo, Mechi namba 79 Gor Mahia FC vs New Stars de Douala na Mechi namba 80 New Stars de Douala vs Gor Mahia FC,”.

Golikipa wa Lobi John Lawrence got alipigana na Harun Shakava na Joash Onyango baada ya shabiki mmoja kuvamia uwanjani.

“Klabu ya Lobi Stars imeoigwa faini ya USD 15000 (baada ya golikipa huyo kukosa utovu wa nidhamu, lakini pia Lobi wamepigwa faini ya Sh500,000 kutokana na shabiki kuvamia uwanja.

Fedha zote zitalipwa kwa njia ya dola ndani ya siku 69

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here