Home Kitaifa Redemptus Caesar, Shaffih Dauda waongoza Fursa 2018.

Redemptus Caesar, Shaffih Dauda waongoza Fursa 2018.

8588
0

Wiki hii mimi kama mkuu wa vipindi Clouds FM, pamoja na mkuu wa ubunifu wa Clouds Fm Redemptus Caesar tulipatana nafasi ya kuongoza semina ya Fursa.

Caeser akiwa muongozaji mkuu wa Fursa kwa msimu huu wa mwaka 2018, pamoja tuliweza kuzungumza na vijana mbalimbali kwa kuhusu Fursa.

Nili furahi kupata nafasi ya kuzungumza nje ya michezo kuhusu fursa mbalimbali za vijana.  Ukumbi ulipata watu zaidi ya 200, natumaini nilicho share pamoja nao kitawasaidia.

Pia hongera kwa kwa Caeser na timu yake nzima kwa kuongoza tukio hili zima.

Hizi ni baadhi ya picha kwenye matukio yaliyopita na siku ambayo ambayo na mimi nilihusika.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here