Home Kimataifa FIFA kuongeza timu kombe la dunia 2022

FIFA kuongeza timu kombe la dunia 2022

3144
0

FIFA imethibitisha kwamba, inaandaa mchakato wa mwisho kabla ya kuthibitisha kuwa michuano ijayo ya kombe la dunia itahusisha timu 48 na inasemekana Qatar ambao ndiyo wenyeji siku si nyingi watatangaza kuridhia kuwepo kwa mwenyeji mwingine.

Kama timu zitaongezeka kutoka 32 hadi 48 inamaanisha lazima atafutwe wenyeji wengine ambao watasaidiana na Qatar kuandaa mashindano.

Kumekuwa na taarifa kwamba, nchi za Afrika kwa umoja wao (CAF) zilithibisha zitaunga mkono mpango huo wa FIFA kuongeza timu zinazoshiriki kombe la dunia.

Huu mpango ulikuwepo tangu awali lakini ulipangwa kuanza mwaka 2026.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here