Home Ligi BUNDESLIGA Dortmund wana nafasi nzuri ya kushinda ubingwa wa Bundesliga

Dortmund wana nafasi nzuri ya kushinda ubingwa wa Bundesliga

585
0

boruss

Kutokana na perfomance ya Bayern Munich mwanzoni mwa msimu huu kila mtu alianza kusema kwamba bingwa atakua Bayern Munich. Lakini mwenendo wa ligi hivi sasa unaonyesha nafasi kubwa ya Borussia nao kuchukua ubingwa huo.

Mtangazaji wa ESPN Craig Burley amesema, “Kwa jinsi form ya Borussia ilivyokua nzuri na utofauti wa points 5 kuna nafasi nzuri sana ya Borussia ku-over take mbio za Bayern kwenye kusaka ubingwa wa ligi. Bayern wana concetration nyingine ya ubingwa wa Ulaya ambapo wanakutana na vigogo wenzao na pia bado wanatakia kugeukia ligi. Licha ya Borussia pia kuwa na mechi nyingine nje ya ligi lakini hata kisoka nafasi ya kushinda ubingwa wanayo kubwa sana”

Wachezaji wa Borussia wanaongoa kwa kuendelea kutoa assists nyingi sana kuliko timu yoyote na mfungaji wao Aubameyang anaendelea kufunga magoli mengi ambapo sasa hivi anayo 22 nyuma ya Lewandowski mwenye 23.

Mechi inayofuatia kati ya Dortmund Vs Bayern Munich ina nafasi kubwa sana kuendelea kutoa maamuzi ya mbio hizi. Mechi hii itafanyika Jumaosi hii kwenye uwanja wa Borussia Dortmund ambapo kama wakishinda watapunguza tofauti ya points 5 hadi 2. Ukizingatia Bayern wamepoteza mechi muhimu dhidi ya Mainz 05 kwa kufungwa 2-1.

Mechi hii itakua #Live and exclusive only on Startimes.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here