Home Kimataifa Dembele afuata mamilioni China

Dembele afuata mamilioni China

3509
0

Je ni sahihi Mauricio Pochettino, kumuuza Mousa Dembele, kwenda klabu ya Guanzough, inayoshiriki ligi kuu ya China.Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka jina la Dembele, sio geni katika ligi kuu England.Kiungo huyu ana uwezo mkubwa wa kukaba na kutengeneza nafasi ana sifika kwa soka la nguvu na kutawala eneo la Kiungo ni ngumu sana kutambua mchango wake akiwa uwanjani kutokana na sehemu anayocheza wapo wachache watakao tambua uwezo wa Kiungo huyo.Tottenham, msimu huu katika idara ya Kiungo wachezaji Karibia wote wana anza katika kikosi hicho kwenye idara ya Kiungo wapo majeruhi?Sissoko, Dier, Wanyama, wote ni majeruhi hawa wachezaji kama hawapo majeruhi tunaiona Tottenham, inakuwa imara na uwiano katika idara ya Kiungo kuondoka kwa Dembele, kunaifanya Tottenham, kubaki na Kiungo mmoja mkabaji?.Harry Wink, peke yake hajaumia je ataiweza kuibeba klabu hiyo? me binafsi sina imani nae sana katika idara hiyo kwa sababu ukiangalia wachezaji wanaocheza katika idara hiyo wana nguvu kwenye kukaba na hata kukaa na mpira kwa kupunguza presha ya timu pinzani.Wink, ni mzuri kwenye kukaba na ila kwenye kufanya maamuzi ni mgumu kukokota mpira na kupiga mirefu ni mzuri kwenye mipira mifupi ya hapa na pale.Huu ndo ulikuwa mda muafaka wa Pochettino, pamoja na mwenyekiti wao Dany Levy, kumuacha Dembele na kuwasaidia katika idara hiyo ana uzoefu wa michezo mikubwa wapo watakosema umri wake mkubwa? ndio ana miaka 31 wakati anaondoka yeye kuna mchezaji gani atakuja kuziba nafasi au mchezaji gani mutakamleta mpaka hao wachezaji wengine wapone.Spurs msimu huu imekuwa ina ukata wa fedha uchumi umeanguka pesa nyingi wamewekeza kwenye kutanua uwanja wao ambao utatumika msimu ujao.Azizi _Mtambo 15

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here