Home Dauda TV Daktari kathibitisha Okwi yuko FRESH

Daktari kathibitisha Okwi yuko FRESH

3172
0

Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi alishindwa kuendelea na mchezo baada ya kuumia na kulazimika kutolewa.

Daktari wa Simba Yassin Gembe amesema Okwi alichanika chini ya jicho la kushoto baada ya kugongana na mchezaji wa Azam.

Angalia video hapa chini👇 Daktari wa Simba Yassin Gembe akithibitisha kuwa Okwi yuko poa na haikuwa jeraha kubwa litakalomuweka nje kwa muda mrefu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here