Home Kimataifa Chelsea leo watafuta machozi au watalala tena msibani

Chelsea leo watafuta machozi au watalala tena msibani

3651
0

Chelsea Vs Huddersfield, mchezo huo utapigwa katika dimba la Stamford Bridge, majira ya saa 18:00 jioni.


………Chelsea, wamepoteza mchezo moja kati ya michezo 16 waliyokutana na Huddersfield, kwenye michuano yote ameshinda mara 11 na sare mara 4 mara ya mwisho Chelsea, kupoteza mbele ya Huddersfield, ilikuwa kwenye kombe la ligi kwenye raundi ya tatu mwaka 1999 kwa bao 1-0.

………Huddersfield katika michezo 10 waliyokutana na Chelsea, ajashinda mchezo hata moja sare mara 4 na amepoteza mara 6 toka mara ya mwisho alishinda bao 1-0 mwaka 1954.

………Chelsea, hajawahi kupoteza katika michezo 14 ya uwanja wa nyumbani dhidi ya timu zinazotoka mji wa Huddersfield Town, ameshinda mara 14 na sare 3 toka mara ya mwisho alivofungwa na Luton Town, kwa mabao 3-1 mwaka 1986.

………Chelsea, waangalia uwezekano wa kutopeza michezo mitatu mfululizo kwenye ligi kuu kwa mara ya Kwanza na mara ya mwisho kupoteza ilikuwa mwaka 2005.

………Huddersfield, hajashinda mchezo hata moja katika michezo 19 ya ligi kuu dhidi ya timu ambazo hazijapanda daraja sare 3 na amepoteza mara 16.

………Hazard, amehusika katika upatikanaji wa mabao 9 katika michezo 7 ya ligi kuu dhidi ya timu zilizomkiani kwenye ligi mabao 5 na assist 4.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here