Home Kimataifa Chama cha Soka cha Misri chabadilisha ratiba

Chama cha Soka cha Misri chabadilisha ratiba

3559
0

EFA wamesema kuwa hawatotumia uwanja wa BORG AL ARAB kwenye mashindano ya AFCON na sababu ni kuwa uwanja huo ni mkubwa sana hivyo itakuwa ngumu sana kuujaza.


Uwanja wa Borg al Arab upo karibu na Alexandria na unaingiza watu 86,000 na EFA wamevitaja viwanja vitakavyotumika kua ni pamoja na Cairo international Stadium, AL-SAALAM Stadium mjini CAIRO, Alexandria Stadium, Al Masry club STADIUM in port Side, Ismailia stadium na Suez Stadium


EFA wamewaomba CAF pia mashindano yaanze alhamisi ya tarehe 23 badala ya ijumaa ya tarehe 24 na mashindano ya mwaka huu yanajumuisha timu 24 badala ya 16 kama ilivyo awali

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here