Wednesday, September 19, 2018

World Cup

Home World Cup

RUS 2018: “Kombe la dunia limehatarisha uhai wa Mama”

Iran imepoteza mshambuliaji wake hatari sana ajulikane kama Sardar Azmoun. Ameachana na soka la timu yake ya taifa akiwa na miaka 23. Wakati nasoma taarifa...

RUS 2018: Soka la Afrika lina dhahabu lakini tunaitumia kama kokoto

Mgema akisifiwa sana tembo hutia maji. Sawa Senegal walicheza vizuri, wakatubeba kimasomaso. Leo wamekwenda uwanjani na matokeo yao mfukoni. Wamecheza kama Yanga. Hawaeleweki wanaenda...

RUS 2018: Chin Bees “VAR ni ya kinyamwezi”

Msanii wa muziki wa Hiphop anayejulikana kama Chin Bees amesema anaukubali sana mfumo wa VAR ambao umewatoa povu mashabiki walio wengi. Chin Bees nilikutana...

RUS 2018: Kwanini Mwana FA anataka VAR iletwe VPL?

Hivi VAR unaichukuliaje kwa mawazo yako? Unadhani ni njia sahihi ya kuondoa matatizo? Je Ungetamani iletwe katika ligi pendwa ya EPL au VPL. Kimsingi VAR...

Messi, Ronaldo, Neymar na wachezaji wengine 55 walio kwenye hatari kukosa robo fainali kutokana...

Ni rahisi sana kupata kadi ya njano katika soka siku hizi hasa baada ya kutambulishwa kwa sheria mpya ya matumizi ya Video Assistance Referee...

RUS 2018: Pesa watakazopata Kane na Lukaku ni kufuru

Kama England watashinda World Cup mshambuliaji wao Harry Kane atapatahela nyingi zaidi ya kitita anachotarajia kusaini Spurs kwa wiki. Matt Law anasema kuwa England wanakutana...

RUS 2018: Brazil ni gari zuri lenye dereva asiyejiamini

Nilikuwa nimekaa na rafiki yangu mmoja nikamwambia Brazil ya sasa ni ngumu sana kusumbuliwa na timu za ulaya labda tu Ujerumani na Ufaransa. Nilinena...

RUS2018: Je World Cup itatoa mchezaji bora wa Ballon d’Or, Kaseja amtosa Messi,

Juzi nilikuwa kijiweni na washkaji. Jamaa mmoja akasema Ronaldo mwaka huu lazima abebe kiatu. Mwingine akasema hana jipya ni mfungaji bora tu wala sio...

RUS 2018: Afrika tumemkosea nini Maradona?

Baada ya mchezo wa Argentine na Nigeria, nilikuwa narudi zangu nyumbani. Njiani nimekuta na jamaa mmoja anatukana sana. Anatukana ovyo oyvo, matusi yake yote...

RUS 2018: Messi anadaiwa na bibi yake.

Leo ndio leo tutajua hatma ya Leo Andreis Messi Cuccittin katika kombe la dunia. Juzi Messi alisheherekea siku yake ya kuzaliwa. Baada ya kukosa...

STORY KUBWA