Friday, September 21, 2018

World Cup

Home World Cup

Miamba hatari iliyowahi kugaragazwa Kombe la dunia

Brazil 1982 Ukiachilia mbali mafanikio makubwa walio nao vijana wa Seleção ya kushinda mataji matano ya kombe la dunia lakini Brazil bado ni taifa ambalo...

“Nusu fainali kombe la dunia 2018 hazina msisimko”-Shaffih Dauda

Kuelekea katika mechi za nusu fainali kombe la dunia Russia, mechi ya kwanza itachezwa leo uwanja wa St Petersburg ambapo Ufaransa watacheza na Ubelgiji,...

RUS 2018: Chin Bees “VAR ni ya kinyamwezi”

Msanii wa muziki wa Hiphop anayejulikana kama Chin Bees amesema anaukubali sana mfumo wa VAR ambao umewatoa povu mashabiki walio wengi. Chin Bees nilikutana...

RUS 2018: “Kombe la dunia limehatarisha uhai wa Mama”

Iran imepoteza mshambuliaji wake hatari sana ajulikane kama Sardar Azmoun. Ameachana na soka la timu yake ya taifa akiwa na miaka 23. Wakati nasoma taarifa...

RUS 2018: “Kombe la dunia limehatarisha uhai wa Mama”

Iran imepoteza mshambuliaji wake hatari sana ajulikane kama Sardar Azmoun. Ameachana na soka la timu yake ya taifa akiwa na miaka 23. Wakati nasoma taarifa...

URUSINI: Waingereza na mapovu yao itakuwaje?

Maswali mengi yameulizwa mitandaoni sana, achilia mbali magoli matatu ya Ronaldo, wala Penati ya Messi au Machozi ya chicharito. Wala siongelei nywele za Neymar...

RUS 2018: Nani atafuzu au kushika nafasi ya 1/2 Kati ya Ureno na Hispania?

Ronaldo anakutana na Iran. Iran sio tishio sana lakini kombe la dunia mwaka huu ndio tishio hasa. Ronaldo mabao manne kufika sasa. Mabao mengi...

Tiketi ya Bombadia: Fahamu miamba iliyotikisa kombe la dunia

TUFAHAMU MAMBO HAYA KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA. Na Aziz -Mtambo Zikiwa zimebakia siku 15, kuelekea michuano ya kombe la dunia itakayofanyika nchini Urusi, hapo...

URUSINI: taarifa za Croatia Vs Nigeria

Leo jumamosi tunaangalia tena mchezo wa kundi D kati ya Croatia V Nigeria, mchezo ambao utachezwa majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za...

RUS2018: Mganda kuwavaa Australia leo

Leo jumanne kutakuwa na mechi nyingne ya kundi C kati ya Denmark na Australia, ambayo itachezwa majira ya saa 9:00 saa za Afrika mashariki. Zifuatazo...

STORY KUBWA