Saturday, September 22, 2018

World Cup

Home World Cup

Morocco yagawa dozi, yatuma salam kwa Ronaldo

Kwa mara nyingine vijana wa Herve Renard timu ya taifa ya Morocco wametoa dozi ya mabao matatu kwa moja dhidi ya Estonia. Juma kaseja amesema...

Mats Hammels amemdharau sana Leroy Sane

Leroy Sane ameachwa. Maswali mengi yamejaa akilini mwa wapenzi wengi wa Soka. Hili suala limekuja na sura tofauti. Ballack amesema sio fea kabisa. Kyle...

RUS 2018: VAR inamjua Neymar na Shaffih anapajua Samara

The champions are Come back! Mliosoma English Medium nisaidieni hapo kama nipo sawa. Hata hivyo hayo sio maneno yangu, ni maneno ya mashabiki wa...

URUSINI: Mtanzania atakata kombe la dunia kule Urusi, ampiku Messi kwa Magoli

Wakati Sanchez na Icard wakiangalia mpira kwenye TV, fahamu kuna mtanzania anakichafua huko Urusi kama hana akili nzuri. Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen aliyezaliwa 15...

Wareno wapata kipigo cha fedheha

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU 17 KUELEKEA RUSSIA TUZIKUMBUKE FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2002 NA KIZAZI CHA DHAHABU CHA TIMU YA URENO NA MECHI...

RUS2018: Messi kitanzini tena

Leo Alhamisi, kutakuwa na mchezo wa kundi D, utakuwa na mchezo wa mwisho wa siku ya Leo. Argentina, atacheza dhidi ya Croatia, katika dimba...

RUS2018: Messi amepata tabu sana, lakini tusimdhihaki ili kumkweza Ronaldo

Hata uwe mzuri vipi, kama wewe ni binadamu kuna wakati mambo yako lazima yakwame. Kuna wakati inabidi tukubali kwamba mipango ya wanadamu ina pande...

RUS 2018: Hawa Croatia watapata tabu sana kuwazuia England

Jason Burt, mwandishi wa kujitegemea wa The Guardian ameweka karata yake kwa Raheem Sterling kuwa atawasumbua zaidi Croatia. Ni kweli, kumekuwa na muunganiko mzuri wa...

Uchambuzi wa kikosi cha England cha Kombe la dunia

NIKAMA MSHALE WA WAKATI UNARUDI NYUMA KTK TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA MAANA WAINGEREZA KIKOSI CHAO MMH TIA MAJI TIA MAJI KINA HOMA ZA...

Road 2 Russia: Una taarifa kuhusu viwanja vya kombe la dunia?

Na: DANIEL S.FUTE *Inaendelea...* HUU ni mwendelezo wa makala yetu, ambapo tunazungumzia Viwanja 12 ambavyo vitachezewa katika fainali za Kombe la Dunia mapema mwezi ujao...

STORY KUBWA