Tuesday, September 25, 2018

World Cup

Home World Cup

RUS 2018: Fahamu namba hizi walizoondoka nazo Hispania

1056 Spain wamekamilisha pasi 1056 ndani ya dakika 120 za mchezo wao wa mwisho dhidi ya Urusi. Katika dakika 90 za mchezo walifanikiwa kugusa mpira...

Mexico na deni la magoli 11-0 vs Brazil – Leo watalipa kisasi au uteja...

Mission ya Brazil kufuta makosa yao yao ya kuondolewa kwa aibu kwenye michuano ya 2014 FIFA World Cup inaendelea baada ya kufuzu kutoka kwenye...

RUS 2018: Je Yusuf wa Tanga atampeleka Modric nyumbani?

Leo ndio leo. Wasambaa na wadigo wote imoo. Ni mtanange wa kufa au kupona. Huu utakuwa na mchezo wa hatua ya mtoano utawakutanisha Croatia,...

RUS 2018: Brazil kwa Ubelgiji? Watakiona cha mtemakuni

Kwa mtazamo wangu kuna uwezekano mkubwa Ublegiji wakatushangaza. Wachezaji wake wengi wana morali kubwa. Nimesikiliza mahojiano ya Kelvin na nimetazama na baadhi picha alizoweka kwenye...

RUS 2018: Takwimu za Messi na Ronaldo kombe la dunia.

Kwanza kabla hatuaongelea kuhusu Messi na Ronaldo ambao watani humuita mmoja Kirikuu na mwenzake Penaldo acha nikupe KIFURUSHI. Kwa Mara ya pili Bingwa wa Ballon...

PSG yawazima Cr7 na Lionel Messi, sasa kazi kwa Neymar

Washambuliaji wawili wa klabu ya PSG ya nchini Ufaransa Kylian Mbappe pamoja na Edison Cavanni wamewatoa nje ya michuano ya kombe la dunia nyota...

Shaffih Dauda kamuua Pogba kaweka mkeka Argentina

Leo tunazianza siku 4 za mitanange 8 ya hatua ya 16 bora ya Kombe la dunia. Michezo inayotufungulia siku ya leo itatupa Burudani ya kuwaangalia...

Shaffih Dauda, Geoff Lea, waibuka na mchawi wa Afrika kombe la dunia

Timu zote tano zilizokuwa zinaiwakilisha Afrika kwenye fainali za kombe la dunia 2018 zimetupwa nje ya mashindano hayo katika hatua ya makundi ikiwa ni...

RUS 2018: utabiri wa Billnass, Kapombe, Ben Pol na mastaa wengine kuhusu 16 bora!...

Hatua ya 16 bora hiyo hapo. Kila mtu kwa sasa tumbo joto. Sio Ronaldo Sio Messi wala Kane wote wameshapewa somo na Korea Kusini...

RUS 2018: “Kombe la dunia limehatarisha uhai wa Mama”

Iran imepoteza mshambuliaji wake hatari sana ajulikane kama Sardar Azmoun. Ameachana na soka la timu yake ya taifa akiwa na miaka 23. Wakati nasoma taarifa...

STORY KUBWA