Sunday, September 23, 2018

World Cup

Home World Cup

URUSINI: Tuliyoyaona kwa Messi na wenzake

Argentina kuna shida gani tena? Wazungu wanasema Iceland ni Surprise Package. Yaan tunaita kibubu cha kushtukiza. Kitu kisichotarajiwa. Iceland wameishangaza dunia. Wamejitahiddi kuhahakikisha wamemdhibiti...

RUS 2018: Taarifa kuelekea mchezo wa Ubelgiji Vs Ufaransa

Tunaangalia mechi ya leo Jumanne ya nusu Fainali, ya Kombe la Dunia kati ya France na Belgium, itakayochezwa uwanja wa Krestovsky muda wa saa...

RUS2018: Messi kitanzini tena

Leo Alhamisi, kutakuwa na mchezo wa kundi D, utakuwa na mchezo wa mwisho wa siku ya Leo. Argentina, atacheza dhidi ya Croatia, katika dimba...

MTAZAMO: Shaffih Dauda kuhusu timu za Afrika kuanza vibaya kombe la dunia 2018

Afrika tunawakilishwa na timu tano kwenye fainali za kombe la dunia, mataifa matatu tayari yamepoteza mechi zao za kwanza huku Misri yenyewe ikipoteza mechi...

England Wasusia Kombe Dunia

Hivi majuzi nilimwambia Rafiki yangu kuwa siamini kama Marekani walishindwa kufuzu kombe Dunia Urusi hasa ukitazamia washindani wake. Kuna siri kubwa ambayo hatujui. Yaan...

Shaffih Dauda kamuua Pogba kaweka mkeka Argentina

Leo tunazianza siku 4 za mitanange 8 ya hatua ya 16 bora ya Kombe la dunia. Michezo inayotufungulia siku ya leo itatupa Burudani ya kuwaangalia...

Man City yatisha kombe la dunia

Na: DANIEL S.FUTE ZIKIWA zimesalia takribani siku kumi kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia, tayari tumeweza kuona vikosi mbali mbali ambavyo vitaenda kuwakilisha vyema...

RUS 2018: Hary Kane Moto, James Moto.

Colombia 3-0 Poland James Rodriguez amefunga magoli 6 na kutengeneza mengine manne katika michuano yote ya kombe la dunia. Amezidi kuwa na kiwango murua kabisa....

RUS 2018: Je Yusuf wa Tanga atampeleka Modric nyumbani?

Leo ndio leo. Wasambaa na wadigo wote imoo. Ni mtanange wa kufa au kupona. Huu utakuwa na mchezo wa hatua ya mtoano utawakutanisha Croatia,...

Tiketi ya Bombadia: Mechi ya Kane Vs Hazard itapigwa hapa

Safari Ya Urusi.... Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea.... LEO tunafikia mwisho wa makala hii, maalumu ya viwanja 12 ambavyo vitachezewa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018....

STORY KUBWA