Monday, September 24, 2018

World Cup

Home World Cup

URUSINI: Xhaka mdomoni mwa timu inayopendwa zaidi duniani

Mabingwa hawa mara tano wa kombe la dunia watacheza mchezo wa kwanza wa kiwa na rekodi ya kutokufungwa mchezo wa ufunguzi tokea 1994 dhidi...

HBD Messi: Simulizi kwa ufupi kuhusu historia ya Messi

Messi aliishi kwenye nyumba iliyojengwa na Baba kwa kushirikiana na Babu yao. Nyumba hii ilijengwa kwa mikono ya Wazazi wao wenyewe. Nimezikumbuka zile nyumba...

URUSINI: Pogba anatisha kama moto wa kifuu

Mpambano wa Ufaransa dhidi ya Australia umekamilika kwa mabao mawili kwa moja. Mchezo huu ulikuwa mgumu sana kwa waaustralia kwani safu yao ya ushambuliaji...

RUS2018: Huyu Hazard Huyu! Neymar akasome

Ubelgiji haina mafanikio makubwa kwenye dunia ya soka. Mafanikio yao makubwa ni mwaka 1920 walipotwaa medali ya dhahabu ya Olympic. Kizazi chao hiki kipya...

Timu ya kwanza kufika Urusi kwa ajili ya World Cup hii hapa

Kuna kale kamsemo waswahili husema kutangulia bar sio kulewa. Lakini huwa waswahili hawa hawa mimi wananichanganya akili. Wakishakwambia hivyo ukizuga zuga wanakwambia chelewa chelewa...

RUS 2018: Chin Bees “VAR ni ya kinyamwezi”

Msanii wa muziki wa Hiphop anayejulikana kama Chin Bees amesema anaukubali sana mfumo wa VAR ambao umewatoa povu mashabiki walio wengi. Chin Bees nilikutana...

URUSINI: Tuliyoyaona kwa Messi na wenzake

Argentina kuna shida gani tena? Wazungu wanasema Iceland ni Surprise Package. Yaan tunaita kibubu cha kushtukiza. Kitu kisichotarajiwa. Iceland wameishangaza dunia. Wamejitahiddi kuhahakikisha wamemdhibiti...

Road 2 Russia: Soksi za messi hazinuki tatizo viatu alivyopewa

Tiketi ya Bombardier Ukiachilia mbali taifa la Uingereza ambalo ni taifa lenye mashabiki wenye Viherere sana, kwa mtazamo wangu hapa Afrika Tanzania nasi tumo lakini...

Unafiki wa Camp Nou utamezwa na Kombe la dunia

Tiketi ya Urusi Mesut Ozil aliondoka Real Madrid, kila mtu alisikitika kwa maamuzi yale. Sababu za kuuzwa kwake zilikuwa na figisu Figisu. Naweza kusema yalikuwa...

England Wasusia Kombe Dunia

Hivi majuzi nilimwambia Rafiki yangu kuwa siamini kama Marekani walishindwa kufuzu kombe Dunia Urusi hasa ukitazamia washindani wake. Kuna siri kubwa ambayo hatujui. Yaan...

STORY KUBWA